bosom

n (arch) 1 kifua cha mtu (hasa mwanamke); matiti (ya mwanamke). 2 sehemu ya wazi inayofunika matiti. 3 (fig) ndani ya moyo (hisia za ndani za furaha au majonzi). a ~ friend n mwandani, sahibu. 4 katikati, baina in the ~ of one's family miongoni mwa ndugu zako.