borrow

vt 1 azima, kopa. 2 (receive) pokea, chukua. 3 (imitate) igiza, fuatisha. (fig) ~ed time n kipindi cha maisha baada ya almanusra. borrowed adj 1 -lioazimwa. 2 (assumed) -a kuiga, -a kujipa. borrower n mkopaji.