bore

bore

1 1 toboa, pekecha, chimba. 2 bungua. n 1 (calibre) kipimo cha mtutu (wa bunduki, mzinga n.k.). 2 kitobo. borer n 1 mdudu anayepekecha. grain ~r n dumuzi. 2 kekee. boring adj. ~ hole n kisima, shimo lililochimbwa. borings n (pl) chembechembe (zitokazo katika tundu linalotobolewa).

bore

2 vt chosha, sumbua, (kwa mazungumzo yasiyovutia). ~ to death/stiff chosha kabisa. boredom n uchoshi. boring adj -a uchoshi n mchoshi. borer n.

bore

3 n (tidal wave) wimbi kubwa sana la kuchanua.