boost

vt 1 piga jeki, sukuma juu,saidia. 2 (electric) ongeza nguvu ya umeme. 3 ongeza hadhi, thamani (ya mtu, kitu au mpango). n tendo la kuongeza nguvu matangazo, hadhi au thamani. booster n kiongeza nguvu (ya umeme au dawa), jenereta saidizi.