boomerang

n (Australia) bumarengi; (fig) (action which recoils) hoja au pendekezo ambalo humrudia mtoaji na kumdhuru. vi rudia na kudhuru his plan ~ed mpango wake ulimrudia mwenyewe.