boom

boom

1 n 1 boriti (inayoshikilia tanga kwa chini). 2 kishikizo cha kamera, au (mkono wa) maikrofoni. 3 (at mouth of river, harbour) kizuio.

boom

2 vt nguruma, vuma. ~ out nena kwa sauti nzito. (of commerce) sitawi ghafla, tangaa au shamirisha kwa ghafla. n ngurumo, ukuaji (wa ghafla wa biashara), ustawi wa haraka. ~ town n mji uliostawi ghafla.