bond

bond

1 n 1 kifungo, chochote kifungacho (k.m. kamba, mnyororo, pingu n.k.). 2 mapatano, sharti, mkataba his word is as good as his ~ yu mwaminifu sana. 3 hati/ dhamana. debenture ~ n hati ya ukopeshaji. bondholder n mwenye hati/dhamana (ya serikali). 4 kitu kinachounganisha (fig) joined in the ~s of friendship -unganishwa kirafiki. 5 (comm.) in ~ (of goods) bidhaa zilizo forodhani ambazo bado hazijalipiwa ushuru. 6 (pl) minyororo; (fig) utumwa. in ~s -liofungwa, -lio katika hali ya utumwa. break one's ~s jikomboa. vt 1 gundisha. 2 weka bidhaa katika bohari ya ushuru. bonded adj -liozuiwa ~ed goods bidhaa zilizozuiwa ili zilipiwe ushuru.

bond

2 pref -a utumwa. bondage n utumwa; hali ya kufungwa. ~sman/servant n mtumwa, -lio katika utumwa. n (pl) bondsmen n mdhamini/wadhamini.