bomb

n kombora, bomu. ~ bay n chumba cha kuwekea mabomu (katika ndege). ~ disposal n uteguaji mabomu. ~ proof adj -enye kinga ya mabomu, -siolipulika. ~ shell n (fig) mastaajabu, fadhaa, mshangao. ~ sight n kilengea shabaha ya bomu (katika ndege). ~ site n eneo lililolipuliwa na mabomu. go like a ~ (sl) fanikiwa sana, fana mno it costs a ~ ni ghali sana. vt,vi 1 shambulia kwa mabomu. ~ out fukuza kwa mabomu toka katika jengo. 2 ~ up pakia (ma) bomu. bomber n 1 ndege ya mabomu. 2 mtupaji mabomu. bombard vt shambulia kwa mabomu, piga mizinga, tupia makombora; (fig) shambulia, fululiza ~ard with questions hoji sana, fululizia maswali, shambulia kwa maswali. bombardment n. bombardier n (mil) mtupa/mpiga makombora, mtega makombora.