bolt

bolt

1 n 1 komeo, kia. 2 radi. a ~ from (out of) the blue shani. 3 mshale. shoot one's last ~ fanya jaribio la mwisho. 4 (screw) bolti. vt komea, funga, kaza.

bolt

2 vi,vt 1 kurupuka, kimbia upesi. 2 meza (chakula) upesi. 3 (of plants) kua haraka sana. n kukurupuka. make a ~ for it kimbia upesi (kwa nia ya kujificha). ~ hole n mahali pa kujificha.

bolt

3 adv ~ upright wima kabisa.

bolt

4 vt chekecha, chunga.