2vt,vi 1 chemka. (fig)keep the pot ~ing pata riziki. ~ ing pointn kiwango mchemko reach ~ing point chemka. ~ing hot(colloq) joto sana. 2 (of the sea, person's feelings) tutuma; (fig) kasirika sana, shikwa na ghadhabu, fura kwa hasira, panda hamaki. 3 tokosa; chemsha ~ eggs tokosa mayai. ~ away endelea kuchemka; chemka mpaka imekauka kabisa. ~ down punguza kadiri ya kitu kwa kukichemsha it ~s down to this matokeo yake ni; kiini chake ni. ~ over furumia, fufurika, furika. nthe ~n hali joto ya kuchemsha; (fig)reach a ~ing fikia kikomo cha uvumilivu, -tovumilia tena. be on the ~ chemka. bring something to the ~ pika hadi kuchemka. come to the ~ anza kuchemka.