body

n 1 mwili. keep ~ and soul together ishi. 2 a dead ~ n maiti, mfu, mzoga, kimba. 3 (trunk) kiwiliwili. 4 (person) mtu. somebody pron mtu fulani. anybody pron mtu yeyote. everybody pron kila mtu. 5 heavenly ~ n sayari za juu, nyota, jua, mwezi. ~ odour n gugumu, kutuzi, kikwapa. 6 (company) jamii, shirika; (of troops) kikosi, kundi, jeshi the ~ of a concert hall sehemu inapokaa hadhira governing ~ baraza linalotawala legislative ~ baraza la kutunga sheria the diplomatic ~ kikundi cha mabalozi. 7 jumla, mkusanyo (wa habari, maarifa n.k.) a ~of knowledge jumla ya maarifa. 8 nguvu halisi wine of good ~ divai halisi. 9 (compounds) bodyguard n mpambe; mlinzi binafsi. ~ servant n hadimu/dobi. ~ snatcher n mfukuaji maiti kwa uchunguzi wa elimumwili. ~-work n bodi ya gari,matengenezo a bodi ya gari. bodiless adj -sio na umbo/msingi. bodied adj (able) -enye nguvu; (full) -a miraba minne.