bodily

adj -a mwili, -a mfano wa mwili. in bodily fear katika hofu ya maisha. bodily harm n madhara ya mwili adv 1 -zima, kwa pamoja. 2 kimwili, binafsi.