boat

n 1 mashua, boti. ship's ~ n hori. (fig) be (all) in the same ~ -wa katika hali ileile. burn one's ~ kata shauri, -torudi nyuma, piga moyo konde. 2 (of gravy) kibakuli cha mchuzi vi safiri kwa mashua. go ~ing safiri mashuani kwa kujifurahisha. take to the ~s (of the crew and passengers) kimbilia mashuani wakati wa ajali. ~-hook n upondo wenye kulabu. ~-house n banda la kuhifadhia, kuundia au kukalafatia mashua. ~ man/ ~-keeper n baharia. boat-race n mashindano ya mashua. ~ swain n (naut) serahangi.