board

2 vt,vi 1 funga/funika/ziba kwa mbao. 2 lisha/lishwa kwa mkopo (wa muda maalum) ~ people lisha watu. ~ out la chakula nje ya mahali pa kulala. 3 ingia, panda (merikebuni, melini, garini, n.k.). ~ing card n cheti cha kuingilia chomboni be ~ed pakiwa; -lishwa. boarder n mtu anayelishwa, mwanafunzi wa bweni/dahalia. ~-over/~up funga kwa mbao. ~ing-house n nyumba ya kupanga yenye huduma za malazi na chakula, nyumba ya wageni. ~ing-school n shule ya bweni, dahalia.