bluster

vt,vi 1 (of person) foka, tenda kwa kiburi. 2 (of wind and waves) chafuka. 3 ~ out tishia kwa kujigamba. ~ out threats toa vitisho, tishia, tia hofu. blustering adj -a kujivuna, -a makeke, -a vitisho. n 1 mirindimo ya gharika, mivumo ya upepo mkali. 2 vitisho, makeke. blustery adj.