blush

n 1 wekundu wa uso (dalili ya fadhaa, haya, hasira 2 rangi nyekundu, k.m ya ua, jua the ~ of dawn nuru nyekundu ya mapambazuko. 3 (fig) ua (la ujana n.k.). vi ona haya, tahayari I ~ed for him nilitahayari, alinitahayarisha. blushing adj 1 (of person) mwenye kuona haya/aibu. 2 -a rangi ya waridi. blushingly adv.