1adj 1 (of person) raufu lakini -sio na simile, -nyoofu. 2 (steep) -enye kuinuka ghafula. blufflyadv. bluffnessn gengetao.
bluff
2vt,vi danganya (kwa kujifanya). ~ somebody into doing something hadaa/danganya mtu afanye kitu. ~it out shinda majaribio/hali ngumu kwa kudanganya. ~ one's way out of something epuka jambo kwa kujifanya n hila. udanganyifu, matumizi ya vitisho kupata mradi (bila kuvitekeleza). call somebody's ~ chokoza mtu atekeleze vitisho vyake. bluffern.