blue

adj, n 1 bluu, buluu, -a rangi ya samawati; kama maji ya bahari dark~; navy ~ -a rangi ya nili; -a matusi. ~films n filamu za matusi. ~ jokes n utani wa matusi. ~ laws n sheria ngumu (ya kikanisa n.k.). ~ ribbon n nishani ya ushindi wa kwanza. once in a ~ moon kwa nadra. 2 be ~ wa na moyo mzito; huzunika, udhika. out of the ~ ghafla; bila kutegemea. 3 mfuasi mwaminifu. a true ~ mfuasi mwaminifu. 4 (pl) the ~s n 1 hali ya kuwa na huzuni/moyo mzito. 2 (arch) aina ya muziki wa jazi wa wawindaji. vt 1 fanya kuwa buluu. 2 ~ one's money fuja fedha, tumia ovyoovyo fedha. ~ bell n ua la buluu lenye umbo la kengele. ~-book n 1 taarifa rasmi ya serikali au hati zilizojalidiwa kwa jalada la buluu. 2 (US) orodha ya majina ya watu maarufu kijamii. 3 kitabu cha mitihani. blue-bottle n nzi wa chooni, nzi choo. blue-collar adj -a kuhusu kazi za viwandani. ~-jacket n baharia. blue-pencil vt 1 hariri. 2 kagua (censor). ~-Peter n sero: kibendera (cha meli) cha buluu, alama ya kuondoka meli. ~-print n 1 karatasi ya kuchorea picha/ramani ya jengo. 2 mpango makini. bluestocking n (derog) mwanamke msomi. bluish adj -a kibuluubuluu.