blower

n 1 blowa: chombo cha kusukumizia hewa ndani ya chombo kingine. 2 mtengeneza vifaa vya glasi. 3 (colloq) simu. ~ing n kupuliza. ~ing engine n mashine ya kupulizia.