blot

n 1 waa, doa. 2 ila, kasoro, aibu. vt 1 tia waa. 2 (spoil) hasiri, umbua, aibisha. 3 kausha kioevu (k.m wino, maji n.k.). ~ter; ~ting paper n. 1 kikausho. 2 (police) kitabu cha matukio. police ~ter n kitabu cha polisi cha matukio. ~ one's copy book haribu sifa yako.