bloom
bloom
1 n 1 ua lolote. 2 hali ya mmea kutoa maua, kuchanua. 3 upeo wa afya au ukamilifu wa mtu au wa kitu; kipindi cha kukamilika. in ~ chanuka in full ~ katika kupevuka, katika upeo wake in the ~ of youth katika upeo wa ujana it has lost its ~ imepoteza uzuri wake. vi 1 toa maua, chanua. 2 kuwa na hali kamili (yaani sura nzuri ya afya kamili); sitawi. ~y; ~ing adj.bloom
2 n kipande kinene cha chuma.