n 1 damu. ~ bankn benki ya damu soldiers shed their ~ for their country wapiganaji walikufa kwa ajili ya nchi yao. 2 (temperament)in cold ~ kwa makusudi. hot ~edadj -enye hamaki, mori. make bad ~ between persons chonganisha, gombanisha. 3 undugu, ukoo. ~ is thicker than water damu ni nzito kuliko maji. one's own flesh and ~ watu wa ukoo mmoja. blue ~n ukoo bora. 4 ukoo wa kifalme prince of the royal ~ mwana wa mfalme. 5 (arch) kijana. vt 1 onjesha mbwa damu ya mawindo kwa mara ya kwanza 2 -pa mtu zoezi kwa mara ya kwanza. ~ curdlingadj -enye kutia hofu. bloodedadj 1 -enye damu. 2 -a ukoo bora. 3 uaji, -a mauaji, -mwagaji damu. ~-donorn mtoaji damu. ~-groupn aina ya damu. ~ heatn joto la kawaida la damu. ~ houndn 1 aina ya jibwa liwezalo kumtafuta mtu kwa kunusa harufu yake. 2 (fig) mpelelezi. bloodilyadv 1 kwa damu. 2 kiibilisi. bloodlessadj 1 -siokuwa na damu. 2 -liopauka. 3 bila nguvu, bila kuchangamka. blood-lettingn kuumika: kutoa damu kwa ajili ya kutibu. blood-moneyn(informal) malipo ya kuua ama kumsaliti mtu. 2 fidia (kwa ndugu waliopoteza ndugu zao). ~ poisoningn kusumu damu. blood-redadj -ekundu kama damu blood-relationn ndugu. ~ relationshipn udugu wa damu. half-~ relationn ndugu wa mzazi mmoja. bloodedadj~ shotadj (of eyes) -ekundu kwa damu. bloodstainn doa la damu. ~ stockn ukoo bora. blood-suckern mnyonyadamu, kupe. ~-thirstinessn hamu ya kuua, ukatili, kupenda kuua. ~ sportsn kuwinda wanyama na ndege. ~ thirstyadj -enye hamu ya kumwaga damu, katili. blood-vesseln mshipa wa damu. bloodyadj 1 -amu,enye damu. 2 (cruel) -kali, katili -a kiuaji. 3 (sl) adj,adv mno, kabisa it's ~y hot kuna joto kali.