blitz

n 1 shambulio kali la ghafula (hasa kwa ndege za vita). vt shambulia kwa ndege za vita; tupia makombora/mabomu kutoka hewani.