blind

adj 1 (of sight) -pofu, -sioona a ~ person asiyeona ~ of one eye -enye chongo. ~ spot n sehemu ya mboni isiyoona; sehemu isiyoonekana vizuri; kushindwa kuelewa jambo. 2 (fig) be ~ to something kutoweza kutambua kitu turn a/one's ~ eye to something puuzia jambo, jifanya kwamba huoni. 3 -jinga, -zembe; -a harara, -sofikiri in ~ haste kwa haraka, pasipo kufikiria ~ rage ghadhabu ya kijinga. 4 a ~ corner n kona bubu, kali. 5 a ~ alley n uchochoro usotoka. ~ flying n urushaji ndege kwa kutumia vyombo (k.m. katika mawingu mazito, ukungu n.k.). ~turning n kona katika barabara isiyoweza kuonekana kwa urahisi. 6 a ~ side of somebody/something penye ubovu. 7 ~ date n kukutanishwa na msichana/mvulana (bila kuwa mmepanga) kwa mara ya kwanza. ~ drunk adj -liolewa sana. blinder (colloq) n kitiafora. vt 1 pofusha. 2 danganya, ondolea uwezo wa kuamua kwa urazini, tia kiwi cha macho. ~ fold adv. vt 1 funga kidoto. 2 pumbaza. n 1 pazia (ya kukingia jua dirishani); ukingo wa kutiwa katika madirisha. Venetian ~ n luva (agh. za plastiki) za kuzuia mwanga. 2 udanganyifu, hila, hadaa, ghiliba. blindness n upofu; hali ya kutoweza kuona kitu/ jambo. blinders (GB = blinkers) n (pl) vinga vya macho (kuzuia farasi asione pembeni). ~-stitch n mshono usioonekana.