bleachers

n (pl) (US) mabenchi (viti na mbao za kukalia kwenye majukwaa ya viwanja vya michezo visivyoezekwa). adj 1 (of weather or country) baridi, -a kufanya watu wajikunyate. a ~ wind n upepo wa baridi. 2 (of place) wazi, -a kuvumiwa na upepo mwingi. 3 (fig) pasipo matumaini; -a kutokuwa na wema. ~ly adv. ~ness n.