bleach

vt,vi (of colour) pausha; fanya kuwa nyeupe (kwa nguvu za madawa au za jua). ~ing-powder n 1 dawa ya kung'arisha au kuondoa madoa kwenye nguo (namna ya chokaa yenye harufu kali). 2 dawa ya klorini.