blazon

n nembo (hasa kwenye ngao). blazonry n 1 sanaa ya kuchonga nembo. 2 maonyesho ya kuvutia. vt remba (ngao, bango na nembo).