blazer

n bleza: koti lenye kupwaya kidogo na mara nyingine huwa lina alama ya skuli au klabu ya watu.