blaze
blaze
1 n 1 mwako, mmeko, ndimi za moto, mbimbiriko wa moto in a ~ katika ndimi za moto burst (out) into a ~ lipuka moto ghafla in the ~ of day wakati wa jua kali. 2 moto; jengo au nyumba inayowaka. 3 mng'aro wa rangi. 4 hasira ya ghafla. 5 (pl) (sl) motoni. Go to~s! potelea mbali! vi 1 waka. 2 ng'aa, meka. 3 onyesha hasira ya ghafla ~ with anger waka kwa hasira. ~ away piga mizinga, bunduki upesi na kwa mfululizo. 4 (of news) tangaza, eneza habari zikafika mbali adj 1 -a kung'aa. 2 -angavu. 3 dhahiri. 4 -a mnga'ro. 5 he was working like ~s alikuwa anafanya kazi kama punda.blaze
2 1 kata, weka alama (kwenye mti) ya utambulisho wa njia au mpaka. 2 (fig) ~ a trail onyesha njia kwa kuweka alama; -wa wa kwanza kufanya kitu na kuonyesha wengine jinsi ya kukifanya. n alama kwenye mti (iliyofanywa kwa kukata gome lake); alama nyeupe kwenye uso wa mnyama (k.m.) farasi au ng'ombe.