blast

vt 1 pasua kwa baruti, lipua. 2 haribu, angamiza. 3 karipia, chachafya. 4 (curse) laani. 5 blastoff (of space craft etc.) fyatuka kuelekea juu kutokana na kusukumwa na gesi. n 1 upepo mkali wa ghafla, upepo wa kishindo. 2 mkondo hewa mkali unaovukuta moto katika tanuri. (of a furnace) in/out of ~ inafanya/ haifanyi kazi. 3 sauti ya ala za upepo, k.m tarumbeta. 4 mlipuko, mpasuko (wa baruti n.k.). at full ~ (colloq) kwa nguvu/uwezo wote; mlio (wa baruti) adj -lioangamizwa, -lioharibiwa, -liolaaniwa. blast-furnace n kalibu, tanuri. blasting n mpasuko (wa baruti n.k.). ~ing-powder n baruti.