blank

adj 1 tupu; -sioandikwa kitu chochote. ~ cheque n cheki/hundi ilowazi, cheki isiyoandikwa kiasi cha fedha. ~ space n nafasi tupu. ~ cartridge n baruti tupu. 2 (fig) give someone a ~ cheque -pa mtu madaraka kamili (of face, look) -sioonyesha hisia, -liofadhaika, -a kushangaa, bila jambo lolote la kuvutia. 3 (fig) ~ wall n patupu. come up against a ~ wall shindwa kupata habari/maelezo maoni n.k. 4 ~ verse n ushairi usio na vina. 5 kabisa. ~ despair kukata tamaa kabisa. n 1 pengo, nafasi tupu, nafasi wazi, uwazi. 2 (in lottery) tikiti isiyoshinda. (fig) draw a~ topata yaliyotumainiwa. 3 ~ ness n. blankly adv 1 (in refusing) kabisa. point ~ adv kabisa, katakata. 2 bila kuonyesha mawazo, hisia, uelewa n.k.