blancmange

n jeli nyeupe ya maziwa iliyotiwa katika chombo ili kuipa umbo maalum ~ powder mchanganyiko wa maziwa ya unga, gelatini ya unga, n.k.