adj 1 -eusi ~shoes viatu vyeusi. 2 -chafu your hands are ~ mikono yako michafu. 3 -baya, ovu he's not as ~ as you say si mbaya kama unavyosema today is a ~ day leo ni siku mbaya. be in someone's ~ books chukiwa na fulani. 4 -a giza, -a utusitusi. n 1 (colour) weusi, kiwi. 2 (person) mweusi. 3 in the ~ -wana pesa, -tokuwa na deni. 4 in ~ and white -lioandikwa; (of films and photographs) iso rangi. vt 1 fanya weusi (viatu n.k). 2 (of strikes) susa, kataa kushughulikia. blackenvt 1 fanya weusi. 2 (someone's name) chafua jina, kashifu. blackingn dawa nyeusi ya kupiga viatu. blackishadj -eusi kidogo, -eusi -eusi. blacknessn weusi; giza, ubaya. ~ art/magicn uchawi, uramali, ulozi. ~ ballvt piga kura kumkataa mtu asiingie kwenye kikundi/chama. ~ boardn ubao (darasani). ~ boxn kisanduku cheusi: chombo maalum (agh ndani ya ndege kinachorekodi mambo yote yanayotokea, kinatumika hasa kujua chanzo cha ajali au maafa). B~ Deathn tauni (iliyoua maelfu ya watu katika karne ya 14) .~ eyen kuvia, kuvilia. give someone a ~ eye kumviliza mtu. ~eyedadj -enye macho meusi. ~ guardn mwovu, baa, ayari, fasiki. vt tukana, tusi. blacklyadj ovu, laghai. ~ headn chunusi. ~-leadn risasi (katika kalamu ya risasi). ~ legn(of strikes) msaliti: anayeendelea kufanya kazi wakati wenzie wamegoma. vi saliti wafanyakazi. ~ listn orodha ya watu/mashirika/nchi n.k wanaofikiriwa kuwa wabaya au wataadhibiwa he can't get a job because he's on the employers' ~hawezi kupata kazi maana yuko kwenye orodha ya watu wabaya vt weka mtu kwenye orodha hii. ~ mailvt saliti; tisha mtu kwamba utafichua siri/maovu yake ili akupe fedha/upendeleo. n kupata pesa/ upendeleo kwa njia hii. blackmailern msaliti. ~markn alama mbaya (shuleni au kazini). ~ marketn magendo. ~marketeern mfanya magendo. ~ Muslimsn Waislamu Weusi: kikundi cha watu weusi hasa Marekani ambacho, pamoja na kufuata Uislamu kinataka kujitenga na Wazungu na kuanzisha dola lao peke yao. blackoutn 1 giza tupu (kutokana na kuzimika kwa umeme ama kwa sababu ya hitilafu ya umeme ama kwa makusudi wakati wa vita). 2 (plays) kuzimika taa zote jukwaani. 3 kuzirai/kuzimia kwa muda mfupi. 4 (of journalism) kuzima kutangazwa kwa habari fulani. vt,vi fanya giza; ficha kabisa; zimia. ~ powern siasa kali ya kudai haki za watu weusi (hasa Marekani). ~ peppern pilipili manga. ~ sheepn mtu anayetia aibu (katika familia, kikundi n.k.). blacksmithn mhunzi. ~spotn mahali pa hatari (barabarani panapotokea ajali mara kwa mara).