bit

bit

1 n 1 lijamu. (phr) champ at the ~ -wa na hamasa ya kuanza shughuli. (take the ~ between one's teeth a) (of horse) toroka b) makinika (katika kazi ngumu). 2 (of tool) msumari wa kekee.

bit

2 n 1 sehemu, kipande kidogo sana.chembe kidogo a ~ of bread kipande cha mkate. tear to ~s chana vipande vipande. 2 muda mfupi, kidogo. waita ~ ngoja kidogo I don't care a ~ sijali hata kidogo. a ~ at a time/ ~ by ~ kidogo kidogo, polepole. ~s and pieces vikorokoro. 3 do one's ~ timiza wajibu. 4 every ~ as sawasawa na. 5 not a ~ (of it) si kitu, usijali. 6 (US) two ~s n senti ishirini na tano. 7 a nice ~ of goods/fluff/stuff (sl) msichana mzuri.