n 1 uzazi; kuzaliwa. give ~ to zaa, jifungua. ~ placen mahali pa kuzaliwa. ~ markn alama ya kuzaliwa. ~ raten kima cha uzazi. ~ controln uzazi wa majira; udhibiti wa uzazi. 2 (origin) asili; ukoo, nasaba Tanzanian by ~ Mtanzania wa asili. ~ rightn haki kutokana na asili; haki ya mtu kutokana na uzawa wake; urithi a man of high ~ mtu wa nasaba bora, mtoto wa watu. 3 (beginning) mwanzo, chanzo, chimbuko. ~ dayn siku ya kuzaliwa.