biology

n biolojia, elimu viumbe. biologist n mwana biolojia. biological adj -a biolojia. biological warfare n vita vya kutumia bakteria haribifu.