biography

n wasifu: kitabu kinachoelezea maisha ya mtu. biographer n mwandika wasifu. biographic(al) adj -a kuhusu wasifu.