billiards

n biliadi: aina ya mchezo wakugonganisha mipira midogo kwenye meza maalumu. ~ table n meza ya biliadi. ~ room n chumba cha biliadi. ~ player n mcheza biliadi. ~ ball n mpira wa biliadi. ~ cloth n kitambaa cha biliadi.