billet

n 1 nyumba ya kupanga (kwa wanajeshi tu). 2 (colloq) kazi, cheo. vt (on) pangisha nyumba za kukaa (za watu binafsi).