bill

bill

1 n 1 hati ya madai ya fedha, bili. foot the ~ lipa gharama zote. 2 (US) noti ya benki. ~ fold n pochi ya fedha. 3 (leg) mswada. 4 tangazo, ilani. fit/fill the ~ faa sana. ~ of fare menu: orodha ya vyakula hotelini. ~ board n bango la kuwekea matangazo. 5 cheti cha idhini. ~ of lading n hati ya mizigo (melini). clean ~ of health cheti cha kuthibitisha afya. ~of rights n sheria ya haki za binadamu. vt 1 andikia bili. 2 tangaza.

bill

2 n 1 mdomo wa ndege (mgumu na uliochongoka). 2 (geog) fungu, rasi vi (of birds) busu. ~ and coo (of lovers) busiana na nong'onezana.

bill

3 n (also ~ hook) mundu.