adj -a pande mbili ~symmetry uenzipacha ~ agreement mapatano kati ya pande mbili (k.m. nchi mbili). bilaterallyadv. ismn sera ya kusisitiza mapatano kati ya nchi mbili (si zaidi). bilen 1 nyongo. 2 (ill humour) chuki, hasira. ~ ductn kineli cha nyongo. biliousadj -a nyongo; -epesi wa kukasirika, -enye hasira. biliousnessn.