1vt, vi(arch or lit) 1 ambia do as you are ~den fanya unavyoambiwa. 2 takia ~ farewell takia heri, aga. 3 alika the~den guests wageni walioalikwa. biddingn amri. biddableadj -tiifu.
bid
2vt, vi 1 (for) (on) zabuni. 2 (against) shindana na (katika kuzabuni). 3 tafuta, jaribu kupata politicians~ for support wanasiasa wanatafuta kuungwa mkono. 4 ~ (fair to) elekea. today ~s fair to be fine leo yaelekea kuwa nzuri. 5 (of cards) otea, arifia. n 1 zabuni. 2 jaribio the army made a ~ for power jeshi lilijaribu kutwaa madaraka. biddern mzabuni.