between

prep baina (ya), kati (ya). ~ ourselves kati yetu wenyewe I rushed ~ them nilijitoma kati yao adv (in) ~ katikati (ya). few and far ~ moja moja, chache na zilizotawanyika. ~n a go ~ mshenga. come/stand ~ tenganisha. little to choose ~ them hakuna tafauti. ~ and between katikati, si hiki wala kile.