betray

vt 1 saliti, haini, danganya, ghilibu. 2 ~ (to) fichua siri. 3 onyesha dhahiri, fichua. 4 toa ishara, onyesha. betrayal n usaliti. betrayer n msaliti, haini.