berth
n 1 kitanda (ndani ya meli, treni, ndege au gari). 2 (in a port) bandari: mahali pa meli kutia nanga na kukaa gatini. (fig) give a wide ~ to epa, ambaa kwa usalama, jiepusha na. 3 (colloq) mgodi, kazi find a snug ~ pata mgodi/kazi/rahisi. vt 1 funga gati. 2 tafuta malazi (melini n.k.)