berry

n 1 tunda dogo lolote (kama forosadi, fuu, kunazi). 2 mbegu au kokwa ya tunda k.m buni.