n 1 benchi, fomu, ubao wa kukalia, kiti kirefu, (of stone) ufunga. ~ markn alama teule. back ~esn viti vya wabunge wasio na wadhifa. cross ~esn viti vya wabunge huru. front ~esn viti vya wabunge wenye wadhifa. ~ seatn (in a car) kiti cha watu wawili au zaidi. 2 the B~n majaji, mahakimu; kiti au ofisi ya jaji; mahakama. King's ~n Mahakama (ya Kiingereza). raise to the ~ fanya hakimu/askofu. ~ warrantn hati ya hakimu. 3 meza ya kazi (ya seremala n.k.), meza ndefu ya kufanyia kazi. vtto ~ a player kumtoa mchezaji nje, kumpumzisha mchezaji.