belt

n 1 mkanda, mshipi, ukanda fasten the ~ funga mkanda. hit below the ~ fanya faulo/ kosa. tighten one's kaza mkanda, vumilia shida, jinyima. 2 (Geog) ukanda, safu, mstari, eneo ~ of trees safu au mstari wa miti. green-~ n ukanda/eneo la mashamba. maize ~ n eneo/ukanda wa mahindi. 3 mkanda duara. fan-~ n mkanda wa feni. conveyor ~ mkanda wa mizigo. ~ -line n barabara au reli inayozunguka mji vt 1 funga mkanda. 2 chapa kwa mkanda; (colloq) zibua kwa masumbwi. belting n mcharazo give a good ~ing charaza barabara. 3 ~ along (colloq) chapuka. 4 ~ out amba kwa makelele. 5 ~ up (sl) nyamaza.