vi (to) 1 -wa mali ya, -wa kitucha the house ~s to May nyumba ni (mali) ya May. 2 -wa -a, stahili kuwa; -wa/ishi (mahala), husu putthe book where it~s weka kitabu mahali pake he does not ~ here si wa hapa, haishi hapa. belongingn(pl) mali inayohamishika personal ~ings mali ya mtu binafsi.