behaviour

n mwenendo, tabia, mazoea, silika good behaviour adili, mwenendo mzuri, mazoea mazuri, matendo mema kwa wengine. be on one's best behaviour shika adabu sana insubordinate behaviour tabia ya kutotii, kutojali, kudharau. behaviourist n. behaviourism n (psych) nadharia ya mwenendo inayohusu kiamshi na mwitikio.